Ndoto za kuwa Mke na Mume za wawili hawa walio fululiza matukio makubwa ya kuonesha niayao ya kuishi
pamoja zimeishia hewani, japokuwa hawa wote ni wasanii na msanii ni kioo cha jamii wao wamekuaa giza kwa
jamii wakichezea akili na hisia za watu, kwakweli kama watu hawa walitaka kuuza sura kwa jamii kuwa wao nao wanajua Mapenzi kweli wameuza, Hebu tazama baadhi ya videos zikiwaonesha wawili hawa
No comments:
Post a Comment