mafia Crewz

Bizo

Pages

Tuesday, March 13

MR EBBO AFARIKI DUNIA


Msanii aliyejizolea mashabiki wengi hapa nchini kwa staili ya muziki wake aliokuwa akifanya, Mr Ebbo ameaga dunia usiku wa kuamkia leo. Mr Ebbo alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani jijini Arusha hivyo inasemekana aliwahi kulazwa katika hospitali moja huko Usa River.







Makazi ya Mwanamuziki Ebbo yalikuwa Mkoani Tanga ambako ndiyo kuna ndugu zake wengi , huko arusha inasemekana alikuwa na ndugu zake wachache tu.

Mungua ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi

No comments: