mafia Crewz

Bizo

Pages

Monday, April 16

MPOKI QUOTES

Mimi ni shabiki mkubwa wa Mpoki  mchekeshaji huyu jamaa ni mwigizaji mkubwa mwenye mafanikio makubwa katika tsnia ya sanaa.


Sasa usiku wa jumamosi ya siku ya Killimanjaro Music Awards 2012 alikuwa kati ya waongozaji wa tukio na nikapata kuquote baadhi ya maneno yake.
"Hakuna mkate mgumu mbele ya supu"                                                    .
"Hata kama bata mweusi kiasi gani atataga yai jeupe"                              .
"Ukukaa karibu na duka la pafyumu lazima utanukia"                              .
"Mwanamke hasingiziwi mimba"                                                              .
"samaki anaoshwa kwa maji wakati ameishi kwenye maji miaka yote"   .
"Pombe ingetumika kama kitabu shuleni"                                                 .
"Sio kweli anayekaa karibu na University anaakili"                                  .
usku wa KTMA 2012

No comments: