mafia Crewz

Bizo

Pages

Wednesday, October 26

MRISHO NGASA NA KIFAA CHAKE KIPYA

Kiungo mshambuliaji nyata wa Azamu FC Mrisho Ngasa ameachana na mkewake Bi.Latifa Abdulrahiman
akisema matatizo ya kifamilia ambayo yalimuathiri kiwango chake cha soka
kwa kiasi kikubwa sababu iliyo mpelekea ampe Talaka bi. huyo. Mrisho alisema atarejea katika hali na mzuka wake wa kawaida baada ya kumalizana na aliyekua mkewake . kwa inavyo semekana kwasasa Mrisho ana New Brand kifaa "anaitwa Shamsa Rubasha na ananiongezea Ari ya kufantya kwa bidii uwanjani" Mrisho alisema

No comments: