mafia Crewz

Bizo

Pages

Friday, October 28

NAJ NA VIDEO YAKE MPYA YA DANCE FEATURING AY


Msanii kutoka katika kikosi cha Young Chalz, chini ya Maco Chali wa Mj Record Naj anatarajia kuachia video yake ya Dance aliyomshirikisha Ay. Mwanamuziki huyo ambaye aliimba vizuri katika wimbo wa Dezodezo, amekuwa msanii wa kipekee anayekuja kwa staili ambayo mwanzo watu waliifananisha na Nick Mina






                                                      Naj akicheza kwenye video yake ya Dance

No comments: