mafia Crewz

Bizo

Pages

Friday, October 28

Msanii kutoka Angola Cabo Snoop alitelemsha mawe katika viwanja vya Leaders Club siku ya jumapili, katika concert kubwa la Epiq nation. Msanii huyu anatamba na vibao vya Prakata tumba na wimbeki ambavyo vinasisimua mashabiki When they are pressed play kitu ambacho kilitokea katika viwanja vya Leaders. msanii

Diamond naye aliperform na kulet the cloud go wild 
Back stage hapo
walikuwepo

No comments: