Rapper 50 cent akiungana na world food program alitua kwenye nchi za Kenya na Somalia ili kuweza kushuhudia njaa kali katika nchi hizo, siku ya jumatano 50 Cent jina lake kamili ni Curtis Jacksonalitembelea Dolo nchini Somalia ambapo kumi ya maelfu ya wakazi wamekimbia makazi yao na ikisemekana idadi kubwa ya wanawake na watoto wamepoteza maisha yao kutokana na janga hilo la njaa kali lililo ikumba somalia WPF pamoja na 50 Cent wamejitolea kuchangia takribani 1 billion meal na kuchangia 10cents kwa kila mauzo ya chupa moja ya kinywaji cha kuongeza nguvu ambacho 50 anakipromote kinaitwa "street King".
British Goverment ilitoa takwimu kwamba watu kati ya 50000 mpaka 100000 wamekufa kutokana na janga hilo la njaa
British Goverment ilitoa takwimu kwamba watu kati ya 50000 mpaka 100000 wamekufa kutokana na janga hilo la njaa




No comments:
Post a Comment