 |
| Daniela Atim |
 |
| Jose Chameleone |
msanii wa Uganda Joseph Mayanja A.K.A Jose Chameleone na mkewe Bi.Daniela Atim Waliofunga harusi katika Kanisa la Kikatoriki Mwezi wa 6-2008, wanatarajia kupata mtoto wakike hivi karibuni wakiwa teyari wamebarikiwa watoto wawili
No comments:
Post a Comment