mafia Crewz

Bizo

Pages

Wednesday, April 11

BARUA YA BABA MZAZI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA BAADA YA KUSHINDWA KUFIKA KWENYE MSIBA


Baba mazazi wa Marehemu kanumba alishindwa kufika kwenye msiba wa Mwanawe licha ya kutumiwa nauri  na badala yake akawatuma ndugu zake watatu wa Kanumba ambao walionekana Msibani.
Mzee alishindwa fika sna sababu kubwa mbili
kuumwa MALARIA na
kuchomwa sindano za masaa pamoja na kukutwa na BP iliyosababisha kizunguzungu.

No comments: