mafia Crewz

Bizo

Pages

Wednesday, April 11

NYOTA NDOGO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI.




Msanii wa muziki kutoka Mombasa Kenya Nyota Ndogo ampoteza baba yake leo asubuhi kule Muweza Tanga Tanzania na anatarajiwa kuzikwa kesho. Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Mzee Abdallah.

No comments: