MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE
"Nimepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Ndugu Steven Charles Kanumba. Kupitia filamu zake amebuludisha na kuelimisha jamii kwa namna ambayo haiwezi kupimika. Alikuwa msanii mahili na mwenye kipaji kikubwa ambaye mchango wake mkubwa katika kuanzisha, kukuza na kuimarisha sanaa ya filamu nchini, hautasahaulika".......
"Aidha naunga na wana-familia na wasanii wote Nchini kuwomba Mwenyezi Mungu , Mwingi wa Rehema, aiweke Pema Peponi roho ya Marehemu Steven Charles Kanumba. AMEN"
I-VIEW MEDIA
We had argument few days ago with kanumba concerning this photograph which is a movie cover named MOSES... TWICE HE MENTIONED TO ME THAT THIS IS HIS FAVOURATE PHOTOGRAPH EVER..
THIS PHOTO WILL HAVE ITS USE AT HIS FUNERAL IF THE FAMILY ALLOW US TO DO SO

wasanii na wakazi wakia eneo nyumbani kwa msanii Hayati Steven Kanumba

No comments:
Post a Comment