mafia Crewz

Bizo

Pages

Tuesday, April 10

MAOMBOLEZO YA KUMUAGA MWILI WA STEVEN CHALSE KANUMBA VIWANJA VYA LEADERS




Inasemeka zaidi ya watu 200 walizimia wakiwa kwenye viwanja vya leaders wakiomboleza


mhali jeneza liliwekwa kwa ajili ya heshima ya mwisho


Jeneza likiwekwa


Mama mzazi wa Marehemu akiwapungia mkono kwa huzuni

kwaya


Mke wa Raisi Mama Salma Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
kuuga mwili wa marehemu

                           Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akipiga salute




Waziri wa Mambo ya Nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa
Mh. Bernard Membe

No comments: