Nafikiri mamia ya watanzania wengi leo hii wangependa kuwa wanandoa, wenye maelewano ndani ya ndoa yao imekua tofauti kwa mastar hawa wawili waliokula kiapo 2004. divorce imekua ni kitu cha kawaida kwa Jennifer ikiwa itakuwa mara yake ya 3, ikiwa kwa Marc yeye anataka kubakiwa na watoto wao wawili ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 4
No comments:
Post a Comment