"There is a stranger on my bed.... and he ate my food" hayo ni maneno ya Diddy kwenye viombo vya habari, Ilikuwa tarehe 1 April caretaker ndani ya nyumba ya Diddy alimkuta Quamine Taylor mwenye umri wa miaka 30 akiwa amelala katika moja ya vyumba vilivyopo na kuwapigia simu police.
| "huyu ndio jamaa aliye amuaa kula goodtimes ndani ya jumba la kifahari Quamine Taylor |
No comments:
Post a Comment