mafia Crewz

Bizo

Pages

Friday, June 22

SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA


MTANGAZAJI wa Kipindi cha Bongo Beats cha StarTV, Sauda Mwilima amepata pigo baada ya mtoto aliyejifungua Juni 12, mwaka huu kuwa siyo riziki yake.Inasemekana alipata uchungu wa kujifunguamida ka mida ya jioni hivi. Baada ya kupatwa na hali hiyo alikimbizwa katika Hospitali ya Dk. Mvungi iliyopo eneo la Kinondoni na  iligundulika kwamba mtoto alifia tumboni.

“Inawezekana mtoto alifia tumboni wakiwa njiani kumleta hapa,” alisema mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo

No comments: