mafia Crewz

Bizo

Pages

Tuesday, June 26

WEMA SEPETU AZINDUA FILAMU YAKE YA SUPER STAR

Mwigizaji Wema Sepetu akiingia ukumbini wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya Super Star        
 
 akipozi kwa picha mara baada ya kukaa kabla ya kuanza kuchezwa kwa Demo ya filamu


Waigizaji mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo



Wanamzuiki, watangazaji  pamoja na waigizaji mbalimbali wa filamu walihudhuria katika uzinduzi huo

uzinduzi wa filamu ya Super Star iliyochezwa na mwana dada Wema Sepetu

No comments: