Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wameonekana kudhamiria kuachana na yaliyopita na kuanza maisha mapya baada ya kunaswa wakiwa chumbani katika hoteli moja maarufu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumaliza pambano lao la kirafiki la mchezo wa masumbwi. Wakiwa na nyuso zenye matabasamu ya nguvu, walikuwa
wamelala katika kitanda kimoja na kujifunika shuka moja huku wakiendelea
na stori za hapa na pale. Kwa namna ilivyokuwa ni kama hapakuwahi kutokea bifu lolote kati yao.



No comments:
Post a Comment