mafia Crewz

Bizo

Pages

Thursday, April 12

14/04/2012 KILL MUSI AWARDS ON SATURDAY

Umekaa teyari kwa yule msanii uliye muona bora na ukampigia kula ili aweze kuchukua tuzo. Jumamosi hii patakua hapatoshi pale Mlimani city hall. Mimi binafsi nafikiri ni wazo zuri ambalo wanalifanya kwa wasanii wetu licha ya kuwaongezea umaarufu kwa kazi zao, pia wanawatia moyo wakufanya kazi nzuri zaidi ambayo sisi mashabiki tutaifurahia.

No comments: