Mheshimiwa nakupa big support kwa hilo na nafikiri unaonesha a Good Example kwa viongozi wengine.
Although swala la Lulu ni Zito kwa kiasi chake lakini hakuna linalo shindikana, the girl is too young to experience that kind of situation. Na ukitazama most people wanamshushia lawama kuwa yeye ndio kamuua tena kwa makusudi kitu ambacho si sahihi, Pia uchunguzi wa mwili peke yake sio uthibitisho tosha hata mazingira ya tukio kuna namna nyingi marehemu angeweza kujigonga na kusababisha matatizo mfano hat kutereza au mtuhumiwa alifanya hivyo ili kuj defence na sababu nyengine nyingi, Hiyo uchunguzi wamakini na wahali ya juu unahitajika to prove the innocence.

No comments:
Post a Comment