Friday, July 13
WEMA NA WOLPER TENA BASI
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wameonekana kudhamiria kuachana na yaliyopita na kuanza maisha mapya baada ya kunaswa wakiwa chumbani katika hoteli moja maarufu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumaliza pambano lao la kirafiki la mchezo wa masumbwi. Wakiwa na nyuso zenye matabasamu ya nguvu, walikuwa
wamelala katika kitanda kimoja na kujifunika shuka moja huku wakiendelea
na stori za hapa na pale. Kwa namna ilivyokuwa ni kama hapakuwahi kutokea bifu lolote kati yao.
Tuesday, June 26
WEMA SEPETU AZINDUA FILAMU YAKE YA SUPER STAR
![]() | ||||||||
| Mwigizaji Wema Sepetu akiingia ukumbini wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya Super Star |
akipozi kwa picha mara baada ya kukaa kabla ya kuanza kuchezwa kwa Demo ya filamu
![]() |
| Waigizaji mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo |
![]() |
| Wanamzuiki, watangazaji pamoja na waigizaji mbalimbali wa filamu walihudhuria katika uzinduzi huo |
![]() |
| uzinduzi wa filamu ya Super Star iliyochezwa na mwana dada Wema Sepetu |
STAR WA NIGERIA OMOTOLA JALADE AKIWA NA WATOTO YATIMA LEO
Mchezaji wa Filamu kutoka nchini Naigeria Omotola Jalade
katikati akiwa katika picha ya pamoja na mwigizaji Wema Sepetu kushoto na Khadija Mwanamboka pamoja na watoto yatima wa kituo cha Tanzania Mitindo House cha jijini Dar es salaam Omotola amekuja nchini maalum kwa ajili ya uzinduzi wa filamu ya Wema Sepetu Super Star
LULU ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI
![]() |
| Lulu akielekea kupanda kwenye basi tayari kuelekea magereza katika mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam. |
Msanii
wa Filamu nchini Elizabeth Michael (Lulu) akipanda basi la Magereza
baada ya kutoka
kusikiliza kesi ya kudaiwa kuuwa inayomkabili kwenye Mahakama kuu ya Tanzania
kanda ya Dar es Salaam baada ya kesi hiyo kuhairishwa hadi 9.7.2012.
Friday, June 22
SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Bongo Beats cha StarTV, Sauda Mwilima amepata pigo baada ya mtoto aliyejifungua Juni 12, mwaka huu kuwa siyo riziki yake.Inasemekana alipata uchungu wa kujifunguamida ka mida ya jioni hivi. Baada ya kupatwa na hali hiyo alikimbizwa katika Hospitali ya Dk. Mvungi iliyopo eneo la Kinondoni na iligundulika kwamba mtoto alifia tumboni.
DOGO JANJA ATUA JIJINI DAR, AJIUNGA MTANASHATI ENTERTAINMENT
Msanii chipukizi wa muziki wa Hip Hop, Abdulaziz Chende maarufu kwa jina la Dogo Janja, leo amerudi jijini Dar es Salaam na kujiunga na kundi la Mtanashati Entertainment. Mwanzo Dogo Janja alikuwa kundi la Tip Top Connection linaloongozwa na Madee lakini ilitokea kutoelewana kati yao na kurudishwa kwao Arusha. Janja karudi jijini kwa ndege ya Air Tanzania na anataraji kusaini mkataba na kundi hilo la Mtanashati kuanzia sasa.
Subscribe to:
Comments (Atom)














